Religion & Spirituality      Christianity

TOBA (0)

(0 reviews)
Condition
Quantity
(607 available)
Share
Book Details
Language
Portuguese
Publishers
Xulon Press (7 July 2024)
Weight
0.5 KG
Publication Date
07/07/2024
ISBN-10
1662894554
Pages
466 pages
ISBN-13
9781662894558
Dimensions
12.7 x 2.64 x 20.32 cm
SKU
9781662894558
Author Name
Mai Godfrey (Author)
Read More

Reviews & Ratings

out of 5.0
(0 reviews)
There have been no reviews for this product yet.
Toba. Inamaana gani kwako? Inakuletea hali ya hofu? Au inakuletea hali ya furaha? Umeshawahi kujikuta kwenye hali ya ukavu wa kiroho ukajisikia kuwa mtupu, haijalishi nini unafanya? Iwe ni kwenda kanisani kwa ujumla, au kusali kwa kujilazimisha, chochote unachokifanya juu ya mambo ya rohoni huvutiwi nayo, hata kuomba kwako ni pasipo kuwa na msukumo wa ndani na kuishia kujisikia vibaya? Kama ndivyo hiki ni kitabu kitakachokufaa.

Kitabu cha Toba cha mwandishi Mai Godfrey ni cha kipekee na chenye kukupa mwanga kwa habari ya Toba. Msomaji utakutana na kitabu chenye utaratibu muhimu wa kufanya toba, unaomsaidia mtu yeyote kuweza kuutafuta uso wa Mungu.

Kitabu hiki kinaweza kuwasaidia wakristo na wasiowakristo kumjua Mungu wa kweli kwa namna tofauti baada ya kufanya toba. Ni muongozo unaoweza kutumika tena na tena, iwe ni kwa ajili ya toba tu au kwa ajili ya maombi mazuri ya kupambana na vita vya kiroho na kufunguliwa.

Muongozo wake utakusaidia kuweza kuomba kwa nguvu na mamlaka na kuweza kuona matokeo unayotamani kuyapata unapoomba. Ndani ya kurasa hizi, msomaji na muombaji, utakutana na shehena kubwa ya sala zenye maelezo ya kina juu ya huduma ya mwandishi, mpangilio wake, dira yake, pamoja na shuhuda zenye uzito wa majibu ya maombi.

Unapokitumia kitabu hiki, unatengeneza mahusiano yako na Mungu, pamoja na watu wanaokuzunguka. Miujiza iliyokuwa inaonekana haiwezekani, mara itaonekana kuwezekana.

Anza safari yako ya kuwa muombaji mzuri leo!. .

Frequently Bought Products

Product Queries (0)

Login Or Registerto submit your questions to seller

Other Questions

No none asked to seller yet

Bookiyos Books Solutions - Quality Books, Unbeatable Prices

Bookiyos Books Solutions is your premier online bookstore offering a vast selection of over 5 crore books. Whether you're looking for the latest releases, timeless classics, or rare finds, we have something for every reader. Our platform serves customers worldwide, including the USA, UK, and Europe, with fast delivery and easy return policies to ensure a hassle-free shopping experience. Discover daily updates, exclusive deals, and a comprehensive collection of books that cater to all your reading needs. Shop with confidence at Bookiyos, where quality books and unbeatable prices meet.

Why Choose Bookiyos?

Extensive Inventory: New, old, and rare books available.
Fast Delivery: Same or next-day shipping.
Easy Returns: Hassle-free refund and return policies.
Global Reach: Serving customers in the USA, UK, Europe, and beyond.
Daily Updates: Thousands of new titles added every day.
Join our community of book lovers and start your literary journey with Bookiyos Books Solutions today!