Reference      Words, Language & Grammar

JIFUNZE KISWAHILI

(0 reviews)
Condition
Quantity
(124 available)
Share
Book Details
Language
Swahili
Publishers
John Edward (24 Feb. 2024)
Weight
0.49 KG
Publication Date
24/02/2024
Pages
208 pages
ISBN-13
9798224379071
Dimensions
21.59 x 1.12 x 27.94 cm
SKU
9798224379071
Author Name
John Edward (Author)
Read More

Reviews & Ratings

out of 5.0
(0 reviews)
There have been no reviews for this product yet.
Kitabu hiki kinajumuisha mada mbalimbali zenye lengo la kukuza ujuzi wa lugha, fasihi na mawasiliano kwa wasomaji. Katika Kidato cha kwanza mwanafunzi hujifunza msamiati wa kawaida, sharia za lugha, misingi ya fasihi simulizi na fasihi andishi.

Kidato cha pili huendeleza uelewa wa lugha na fasihi hivyo mwanafunzi hujifunza pia uundaji wa maneo katika lugha ya Kiswahili ambao hupelekea kuongezwa kwa misamiati katika lugha. Kidato cha tatu na nne huleta mada Zaidi za fasihi, uhakiki pamoja na utungaji.

Vipengele kama vile riwaya, tamthilia na mashairi hujadiliwa kwa undani Zaidi. Wanafunzi hujifunza jinsi ya kufanya uchambuzi wa kazi za fasihi na kuzitasiri.

Kuelewa na kutumia Kiswahili kwa mawasiliano ya kina na kuandika lengo kuu. Kitabu hiki hujumuisha historia ya lugha, mchango wa fasihi katika jamii na maendeleo ya lugha ya Kiswahili kama lugha ya taifa.

Hatua kwa hatua , wanafunzi hupata ujuzi wa kuchanganua, kuelewa, kutoa maoni kuhusu kazi za fasihi, na hii huandaa msingi imara kwa matumizi ya lugha hiyo katika Maisha yao ya kila siku. .

Frequently Bought Products

Product Queries (0)

Login Or Registerto submit your questions to seller

Other Questions

No none asked to seller yet

Bookiyos Books Solutions - Quality Books, Unbeatable Prices

Bookiyos Books Solutions is your premier online bookstore offering a vast selection of over 5 crore books. Whether you're looking for the latest releases, timeless classics, or rare finds, we have something for every reader. Our platform serves customers worldwide, including the USA, UK, and Europe, with fast delivery and easy return policies to ensure a hassle-free shopping experience. Discover daily updates, exclusive deals, and a comprehensive collection of books that cater to all your reading needs. Shop with confidence at Bookiyos, where quality books and unbeatable prices meet.

Why Choose Bookiyos?

Extensive Inventory: New, old, and rare books available.
Fast Delivery: Same or next-day shipping.
Easy Returns: Hassle-free refund and return policies.
Global Reach: Serving customers in the USA, UK, Europe, and beyond.
Daily Updates: Thousands of new titles added every day.
Join our community of book lovers and start your literary journey with Bookiyos Books Solutions today!